Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Polisi mahaba waliofukuzwa kazi kwa kosa la kunyonyana ulimi warudishwa kazini kwa agizo la IGP. Inasemekana hakuna sheria yeyote inayokataza watumishi wa serikali au askari kuwa na uhusiano wa kimapenzi kazini na sio kosa kutongoza au kuwa na mpenzi sehemu yako ya kazi ili mradi usilazimishe wala kutumia cheo chako kumshawishi mtu kimapenzi. Kwa maana hiyo askari aliyeisambaza ile picha ndiyo amepewa onyo kali kwa kosa la kuharibu faragha ya wenzake.
Bonyeza Hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top