Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Nick Cannon aliwahi kuchora Tattoo yenye jina la mke wake ‘Mariah’ mgongoni mwake miaka kadhaa iliyopita, ikiwa ni moja ya ishara ya mapenzi moto moto.
Nick
Baada ya ndoa yao kuingia dosari na kutengana hivi karibuni, Nick Jumapili iliyopita akiwa anatoka gym kifua wazi ameonekana akiwa amechora Tattoo nyingine kubwa zaidi mgongoni, na kuiziba ile ya mwanzo yenye jina la ‘Mariah’.
Tattoo mpya ina picha ya Yesu akiwa msalabani na juu yake kuna ndege au malaika.
NickCannon_tattoo

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top