Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Diamond Platnumz pamoja na dancers wake, wamehojiwa kwa masaa kadhaa kwenye kituo cha polisi cha Oyster Bay jijini Dar es Salaam baada ya kuitwa kwenda kujieleza kutokana na kuvaa sare za jeshi la wananchi Tanzania, JWTZ, kwenye show ya Fiesta, kinyume cha sheria.

IMG_7048

Diamond Platnumz akitoka nje ya kituo cha polisi Osyter Bay, katikati ni Chief Kiumbe

Hata hivyo Diamond aliiambia Bongo5 kituoni hapo kuwa hakuwa tayari kuzungumzia kile walichokuwa wakihojiwa na polisi. Awali kulikuwa na taarifa kuwa meneja wake, Babu Tale alishikiliwa katika kituo hicho kuanzia jana kabla ya kutoka Jumatano hii.
IMG_7049

Diamond na Chief Kiumbe wakiteta jambo


IMG_7050

IMG_7051


IMG_7052

IMG_7053
IMG_7054Credit Bongo5

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
22 Oct 2014

Post a Comment

 
Top