Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


10617001_1551488765074145_1426917572_n

Mmoja wa mapacha wa kundi la P-Square, Peter Okoye amechaguliwa kuwa balozi wa Olympic Milk.Dili hilo linadaiwa kuwa la mamilioni ya naira. Hii ni mara ya kwanza kwa mmoja wa ndugu hao kusaini mkataba wake mwenyewe kwakuwa mikataba mingi husaini pamoja.

Wafuatiliaji wa burudani nchini Nigeria wanahisi hiyo inaweza kuwa ni dalili ya kutokuwepo maelewano mazuri kati yao. Kwenye tangazo la maziwa hayo, anaonekana Peter peke yake

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top