Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Clouds Noma ..Pamoja na zengwe kubwa alilowekewa msanii Davido Ambapo siku ya jana ilisemekana kuwa mahakama imetoa tamko kuwa asipofanye show ya Fiesta..Lakini Kwa mshangao wa wengi ambao walikuwa wanasubiri kuona nini kitatokea msanii huyo alipanda jukwaani kama kawa na kukata kiu kubwa ya mashabiki wake....hahahahh



Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top