Waswahili husema mtu hasahau asili.
Barani Afrika kuna mimea mbalimbali ambayo bado inatumika kwa ajili ya matibabu, licha ya mingine mingi kutumika kama chakula.
Hivi karibuni, mwandishi wa BBC aitwaye Zuhura Yunus alikuwa mkoani kwetu Kigoma.
Katika pita pita yake alikutana na mmea ambao awali kwa kuutazama alidhania ni mbuyu.
alipozungumza na wenyeji wa eneo ambalo aliukuta mmea huo,ili kuujuwa jina aliambiwa mmea huo unaitwa Mlemela. Nini kilimvutia mwandishi huyu hata kuufuatilia mmea huo?,
Zuhura alifanya mahojiano na mkazi wa Kigoma alijulikana kwa jina la Birangwa Musa ambaye alimueleza kuwa mmea huo unatumika kwa matibabu hasa kwa wanaume.
Bonyeza hapa kusikiliza mahojiano
Post a Comment
Post a Comment