Mahaba niue !….Gossip mpya ni kuwa actress anayekuja juu kwa kasi kama moto wa kifuu Sabby Angel ambaye pia ni mwanamuziki wa kizazi kipya tayari anadaiwa kuwa kwenye dimbwi zito la mahaba na Bob Junior ambaye pia ni star wa Bongofleva na mmiliki wa Sharobaro Records.

Kwa mujibu wa chanzo makini toka kwa wawili hao kikizungumza naSwahiliworldplanet jioni hii kimesema kuwa Sabby na Bob Junior wanapendana na mahaba yao yalianzia studio ya Bob Junior hivi juzi kati Sabby alipoenda kwa ajili ya issue zake za muziki ndio kila mmoja akamzimikia mwenzake.
Ukiachilia mbali hayo Bob Junior amekuwa akirusha comments na kuchat kimahaba na Sabby Angel kwenye mitandao ya kijamii hususani Instagram mfano mzuri ni pale Bob Junior alipomwandikia Sabby ujumbe mzuri wa kumtakia mema katika siku yake ya kuzaliwa. Bob Juunio aliandika “HAPPY BIRTHDAY MALI MTUU HII AKISOGEA MTU NAMCHINJA TAKE A BIG KISS FROM UR ONE & ONLY SHOMBESHOMBE BABY MWAAAAAHXX BUSU PAAA JUU LIKUFATE ULIPO @sabbyangel HAPPY BIRTHDAY… ”
Unaweza soma : SITTI MTEMVU KUVULIWA AU KUTOVULIWA TAJI, ITAJULIKANA LEO!
Ni mda sasa tangu Bob Junior aachane na mke wake na kwa kipindi hicho chote haikua ikijulikana rasmi nani anatoka kimapenzi na star huyo mpaka wakati huu ambapo wameamua kuweka uhusiano wao wazi. Hope siku si nyingi endapo mahaba yakizidi tunaweza kuwaona wakifunga ndoa. Unaweza ona mawasiliano yao wanayofanya Insta kwa kutazama picha hapa chini
Habara kwa msaada wa SwahiliWorldPlanet
Hapo Sabby aliweka picha ya Bob Junior na Bob Junior kuanza kuchombeza
Bob Junior hivi karibuni aliachia wimbo wake mpya wakati Sabby kwasasa anatamba sokoni na filamu ya Siri Ya Giningi huku filamu yake mpya ya Moto Wa Radi ikitarajiwa kuingia sokoni muda si mrefu kuanzia sasa.
Unaweza Soma : HAA! MBOWE SOMA ALICHOKIFANYA MHE.FREMAN MBOWE
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







.jpg)


Post a Comment
Post a Comment