Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

WATANZANIA leo tunaadhimisha kumbukumbu ya miaka 15 tangu kufariki kwa muasisi na Rais wa kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Mwalimu alifariki nchini Uingereza alikokuwa amaelazwa kwa kusumbuliwa na maradhi ya kansa ya damu oktoba 14 1999.
Na kuzikwa katika kijijini cha Mwitongo Butiama Kaskazini mwa Tanzania ambapo alizikwa Kiongozi huyo wa zamani na rais wa kwanza wa Tanzania.

wakati maadhimisho haya ya kitaifa yatafanyika mkoani Tabora, yakiambatana na kuzimwa kwa mwenge wa uhuru, familia ya Mwalimu, muasisi wa Taifa la Tanzania wao wameadhimisha misa ya kumuombea mwalimu anayetajwa kuwa mwenye heri na harakati za kumtangaza zikiendelea, familia hiyo imesalia kijijini Mwitongo, na kudai kuwa siku hadi siku kumbukizi hiyo inapoteza maana.
Bonyeza Hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top