Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Kijana mmoja nchini Kenya alilazimishwa kutembezwa akiwa mtupu mtaani ili kuchangisha fedha za kumuwezesha kufanyiwa tohara.

Hatua hiyo ilikuja baada ya kijana huyo kudai hana pesa ya kwenda kufanya tohara na wanaume wenzake kuamua kumtembeza mitaani ili aweze kusaidiawa kupatiwa kiasi cha pesa kitakachomwezesha kufanyiwa huduma hiyo.



Kiongozi wa kundi lililokua likimtembeza mitaani  Peter Mwogera alisema lengo la kumzungusha mitaani uchi ni kutaka jamii ya watu wa Githurai waamini kuwa kijana huyo alikua hajafanyiwa tohara.
Bonyeza Hapa like page yetu

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top