Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Exclusive: Babu Tale azungumzia ujio mpya wa Diamond, kazi zote zimetayarishwa nje

Wakati wimbo wa MdogoMdogo ukiwa bado unasumbua kwenye media, Diamond Platinumz anatarajia kurusha mawe mengine mazito zaidi kwa ajili ya kuwaburudisha mashabiki wake.
 Babu Tale ambaye ni meneja wa Diamond amesema mkali huyo anatarajia kuachia nyimbo mbili kwa mpigo na kwamba zote zimetayarishwa nje.

“Tusubirie kidogo, baada ya miezi miwili mitatu tutaongea kwa sababu kuna kazi zinakuja, Diamond anarelease ngoma mbili mfululizo na zote zimetoka nje. Lakini hatuwezi kueongea sasa hivi hadi muda ufike.” 
Inaonekana Diamond hataki kuacha gap, anakandamizia palepale azidi kwenda juu na kutwaa tuzo nyingi za kimataifa kama alivyofanya mwaka huu.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top