Davido muda mfupi baada
ya kutua jijini Dar es Salaam.
Msanii kutoka nchini Nigeria
Davido (wa kwanza kutoka kushoto) akiwa sehemu ya VIP na baadhi ya jamaa
zake muda mfupi baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwalimu
Julius Kambarage Nyerere usiku wa kuamkia leo.
Baadhi ya mapaparazi
wakiwajibika kupata picha za matukio ya ujio wa Davido kwenye Uwanja wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere muda mfupi baada ya
kuwasili akitokea nchini Nigeria.
Mtangazaji wa Clouds TV, Lady Haha (kushotoi), akifanya mahojiano na Davido muda mfupi baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam.
Davido akionyesha tisheti
yenye maneno ya kauli mbiu ya tamasha la Serengeti Fiesta 2014, mara
baada ya kukabidhiwa na mmoja wa wahusika wa tamasha hilo.
Mwandishi wa Habari wa Global
Publishers LTD, Musa Mateja (kushoto), akiwa na Davido muda mfupi baada
ya kutua jijini Dar es Salaam.
BONYEZA HAPA
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment