Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred amemtetea Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu ambaye tangu ashinde amekuwa akikosolewa kuwa hakustahili na kwamba alidanganya umri wake.

IMG_5055
Brigitte ametumia mtandao wa Instagram kuandika kile anachokiona kuwa ni uonevu kwa Mtemvu anayepokea matusi ya kila aina.
“Mazuri mengi yanawapita, but when it’s something scandalous mnadiscuss forever!Ndio maana hatuendelei. I wish tungeweka hizi nguvu zenu za matusi on positive things. SMH. Anyways dear Sitti, don’t let people get to you too much. If it becomes unbearable return their precious crown. It’s not even that worthit- the good times are less than the bad usually.”

BONYEZA HAPA

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top