Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Moja ya vitu havikwenda sawa kwenye tamasha la #Serengetifiesta2014 baada ya kikundi cha watu wachache badala ya kusambaza upendo walikuwa wakisambaza chuki pale Leaders Club kumzomea Diamond na taarifa hizo zilienea kabla ya kuanza kwa shoo hiyo.

Meneja wa Diamond Platinum, Babu Tale amezungumza na 255 ya xxl amesema kuwa walipata taarifa hizo kabla ya shoo kuwa kuna watu wamekodiwa kumzomea Diamond lakini Kama uongozi walikaa na msanii wao na kumshauri afanye shoo kama ratiba ilivyopangwa na asitetereke na kitakachotokea.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top