Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Baadhi ya watu wakiwemo watoto wakiangalia mwili wa kijana aliyeuawa kwa kupigwa na baadaye kuchomwa moto eneo la kata ya Kiloleni manispaa ya Tabora ambapo kwa taarifa kutoka kwa vyanzo vyetu zimeeleza kuwa kijana huyo alitekwa na kundi la vijana wenzake majira ya usiku  wakigombea msichana hatua ambayo ilisababisha kufanyiwa unyama huo uliosababisha kifo chake.Hata licha zogo kubwa lililotokea lakini hakuna mwananchi hata mmoja aliyejitokeza kwenda kumsaidia kijana huyo ambaye hadi umauti unamkuta hakuna mtu aliyemfahamu mara moja huku vijana waliotekeleza unyama huo wakitokomea kusikojulikana. 
 
CHANZO:KAPIPIJ BLOG

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top