Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


1618503_509386052511941_1789822829_n



Tumetoka mbali! Picha ya staa wa Pozi kwa Pozi ‘PKP’, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, aliyofotolewa enzi anaingia jijini Dar kwa treni imekuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki wake na sasa inaelekea kutapakaa kila kona ya nchi na wengi wakibishana namna alivyokuwa awali na muonekano wake wa sasa.
http://salmamsangi.com/wp-content/uploads/2014/03/wpid-img-20140313-wa0001.jpg
Huu ni muonekano wa Staa wa Pozi kwa Pozi, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ kwa sasa.
Picha hiyo ambayo ameipiga kitambo juzikati ilisambaa kwa kasi kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii na kuwafanya watu waanze kubishana kama ni yeye au ni mtu anayefanana naye na wengine kukerwa na picha hiyo wakisema itolewe kwa kuwa inamdhalilisha staa wao.
Baada ya kuona mzozo huo unakuwa mkubwa, gazeti hili lilimtafuta Ommy Dimpoz ili aeleze kama ni yeye ambapo alikiri kwamba ni yeye na kudai aliyekuwa na picha hiyo ni mjomba’ake tu anashangaa ilivyovuja mitandaoni.


http://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2014/05/Screen-Shot-2014-05-19-at-8.24.05-AM.png
Stori: Musa Mateja wa Global Publisher
Bonyeza Hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top