

Lori hilo pamoja na kupiga kwake mweleka halikuwa na madhara yeyote wala dalili ya kusema litawaka moto.Baada ya muda likaja kundi la vijana likiwa na madumu na mifuko ya plastiki na kuanza kuchukua mafuta yaliyokuwemo kwenye lori hilo hali iliyopelekea kutokea mlipuko mkubwa ulioliteketeza lori hilo.
haijafahamika mpaka sasa kama kuna mtu yeyote aliepoteza maisha katika moto huo,ila hasara kubwa imeonekana kutokea kwa nyumba tatu zilikuwepo jirani na eneo la tukio zimeteketea kwa moto,ambazo moja ni ya makazi ya watu,duka la juma la Mchele pamoja nyumba ya kulala wageni.
tutaendele kujuzana.

Sehemu ya Wakazi wa Maeneo hayo wakiangalia kilichotokea huku wakiwa hawaamini wanachokiona.


Sehemu ya Nyumba zilizoteketea kwa moto.

Picha na Eddymoblaze
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment