
Mwanamuziki wa Bongo Fleva Jux amepost picha katika page yake wa Instagram ya msanii wa kike Vanessa mdee (V-money) baada ya tetesi nyingi kuwa wasanii hao kuwa ni wapenzi sasa! kwa picha hii aloipost Jux inakata vilimililimi(Mdomo) ya watu na kudhihilisha kweli V-Money ni wake fans wake katika page yake ya Instagram wamemsifia Jux kama amelenga penyewe wala hajakosea.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment