Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Watu 7 wameuawa kwa kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali katika kijiji cha Mrufyiti Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wa Imani za Kishirikina.

 Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo oktoba07 katika nyakati tofauti katika kijiji cha Murufyiti Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma baada ya watu saba wakazi wa kijiji hicho kuhisiwa kwa muda mrefu kuwa wanajihusisha na imani za kishirikina.
 Sambamba na hilo wananchi hao waliamua kujichukulia sheria  mikononi kwa kuchoma nyumba 18 usiku huohuo.



Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top