Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mwakilishi wa wasanii katika Bunge Maalum la Katiba (BMK), Paul Mtenda juzikati alinusurika kifo baada ya gari lake kugongana uso kwa uso na lingine katika eneo la Dumila mkoani Morogoro wakati akirejea jijini Dar es Salaam kutoka Dodoma. 
Bonyeza Hapa like ukurasa wetu wa facebook
 Mwakilishi wa wasanii katika Bunge Maalum la Katiba (BMK), Paul Mtenda. “Namshukuru Mungu sikuumia kwa sababu nilikuwa nimefunga mkanda, lakini kile kilikuwa ni kifo kwangu,” alisema mwakilishi huyo, mmoja wa wajumbe waliopitisha Katiba Mpya ya nchi inayopendekezwa.

Muonekano wa gari hilo baada ya ajali. Kutokana na kunusurika huko, Paul alisema alilazimika kufanya maombi maalum kwa ajili ya kumshukuru Mungu kwa kumuepusha na kifo, licha ya gari lake kuharibika vibaya.
Kibonajoro.com ndio mtandao wako kwa habari za kitaifa/kimataifa, burudani, michezo, udaku na siasa, Tuwe pamoja huku pia >> Facebook , Twitter

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top