Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This





Msanii Davido kutoka Nigeria ambaye pia amewahi kufanya Collabo na msanii Diamond kutoka hapa Tanzania kupitia Akaunti yake ya Instagram ameachia picha ambayo inamuonyesha akiwa kwenye ndege yake binafsi ambapo kwa mujibu wake yeye mwenyewe ndege hiyo ni yake ama wengi hupenda kusema Private Jet kama ilivyozoeleka tizama alichikiandika hapa chini 





Pamoja na picha ya ndege hiyo hii hapa


  • Bonyeza Hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top