Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
          
Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Ramadhani Sanze akisisitiza jambo. 

Sheikh Ally Baswalehe akisikiliza swali.
Viongozi wa Jumuiya na Taasisi mbalimbali za dini ya Kiislam wakiwa katika mkutano huo.
Wanahabari wakisiskiliza tamko la jumuiya hizo.
Kushoto ni Imamu Mkuu Istiqama Ibadhii Nasoro Majid, msemaji wa ‘’forum’’ ya Jumuiya na Taasisi za Kiislam, Rajabu Katimba na Sheikh Baswalehe.
JUMUIYA na Taasisi za Kiislam nchini, jana Septemba 9, mwaka huu zilitoa tamko kuhusiana na vitendo vya kudhalilisha walivyofanyiwa masheikh wanaotuhumiwa kwa ugaidi.
(Habari/Picha na: Gabriel Ng’osha/GPL)

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top