Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


 Per Mertesacker, Miroslav Klose na Philipp Lahm baada ya kukabidhiwa tuzo zao Esprit Arena
WAKONGWE Miroslav Klose, Philipp Lahm na Per Mertesacker wamepewa tuzo za heshima usiku wa kuamkia leo kabla ya mchezo wa kirafiki kati ya Ujerumani na Argentina Uwanja wa Esprit Arena.Watatu hao waliichezea Ujerumani katika fainali ya Kombe la Dunia mwaka 2014 dhidi ya Argentina kabla ya kuamua kustaafu soka ya kimataifa.
Klose, ambaye ni mfungaji bora wa kihistoria wa Ujerumani kwa mabao yake 71, ametungika daluga baada ya kuwa mfungaji wa mabao mengi zaidi katika historia ya Kombe la Dunia.

MCHANGO WAO KATIKA TIMU YA TAIFA UJERUMANI...

Miroslav Klose (Lazio) - Mechi 137, mabao 71 
Philipp Lahm (Bayern Munich) - Mechi 113, mabao 5
Per Mertesacker (Arsenal) - Mechi 104, mabao 4

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top