Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Screen Shot 2014-09-11 at 6.22.19 AM
Sasa hivi vichwa  vya habari vitaongezewa hii kubwa nyingine baada ya Mtanzania Kay Madati kuchaguliwa kuwa makamu wa Rais katika kituo kikubwa cha Television nchini Marekani BET.
Screen Shot 2014-09-11 at 5.50.08 AMTaarifa iliyoandikwa na Mtandao maarufu wa Forbes imesema amechaguliwa ‘Kay Madati as Executive Vice President and Chief Digital Officer. Madati, a Tanzanian citizen who has lived in Africa, the United Kingdom, and the United States’
Nilikua sifahamu kama Madati ambae ni raia wa Tanzania aliyeishi UK, Marekani na Afrika, aliwahi kuwa makamu wa RaisCNN Worldwide… aliwahi pia kufanya kazi na BMW Amerika kaskaziniOctagon Worldwide lakini pia amefanya kazi naFacebook.
Madati was most recently the Head of Entertainment and Media on the Global Marketing Solutions team at Facebook Inc
Sehemu ya kazi ya Madati BET itakua ni kuziongoza timu za BET kwenye maswala ya digital ‘will oversee BET Digital, the interactive arm of BET Networks whose platforms include BET.com, which encompasses entertainment, music, culture, and news; BET Mobile, which provides apps, ringtones, games and video content for wireless devices; Centric.tv, the online home for the Centric cable channel; and BET Video On Demand, one of the largest VOD services providing African-American content
BONYEZA HAPA

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top