Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Ilikua ni ndoa ambayo walifunga kwa siri, yani bila kuitangaza kwenye vyombo vya habari ambapo ishu nzima ilifanyika nchini Ufaransa na kuhudhuriwa na watu 22 peke yake. Mmoja wa watu wao wa karibu amesema wawili hawa kwa sasa wako serious kuhusu uhusiano wao na kuishi pamoja maishani na siku hizi hawana mikwaruzo ya mara kwa mara kama zamani na wanampango wa kubadilisha majina na kuitwa Jolie-Pitt.
  • Bonyeza Hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top