Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Screen Shot 2014-09-13 at 6.30.06 AM
September 12 2014 Mahakama ya Pretoria nchini Afrika Kusini ilimpata Oscar Pistorius na hatia ya kumuua mpenzi wake bila kukusudia kwenye siku ya Wapendanao February 14 2013.

Baada ya maamuzi hayo kutangazwa, stori mpya kwenye headlines ni familia ya binti aliyeuwawa Reeva Steenkamp imekasirishwa na uamuzi wa jaji wa kesi hiyo kwani mtoto wao alikufa kifo kibaya na ndio maana hawajaamini kilichotokea kwamba Jaji ameamini ushahidi wa Pistorius kuwa alimpiga risasi binti huyo kwa kudhani ni mwizi.
Mwanariadha Oscar ataendelea kuwa nje kwa dhamana kwa mujibu wa BBC mpaka hukumu yake itakapotolewa mwezi ujao.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top