Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Imetokea Mitaa ya Coco Beach DARImetokea pande za COCO BEACH kuna JAMAA bana aliiba NDINGA kwa BI MKUBWA wake akaenda naloBEACH alipofika kwa mbwembwe 
akamkabidhi DEMU wake aendeshe kumbe DEMU hajui KUNYONGA banasi akalipandisha milimani kule kwa mwedo wa kasi akashindwa kufunga breki akaliangusha toka juu mlimani mpaka chini kwenye yale maporomoko.Kwa sasa DEMU yupo MUHIMBILI ICU kaumia vibaga sana na mchizi nae kavunjika MKONO wa kushoto sa sijui alikua anataka kulizuia NDINGA kwa mikono daaaah Mbwembwe hazifai.Bi mkubwa alipovutiwa waya alifika fasta eneo la tukio na alipoliona NDINGA lake lipo kwenye hali ya UCHAPATICHAPATI aliangua kilio kama kafiwa na mumewe.NB: Imewekwa kama ilivyotumwa. CREDIT:GONGMIX

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top