Picha ya gari likiwa limeivaa nyumba na kusababisha vifo.
Ajali nyingine yatokea Mtwara na kuua wanajeshi watatu na raia mmoja baada ya gari kujaribu kukwepa lori la mabomba ya gesi na kuivaa nyumba iliyokuwa pembezoni.
>>>Picha JF
Endelea kutembelea Hapa kwa habari zaidi tutakavyozipata
BONYEZA HAPA
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment