
Rapper na pia msemaji wa
kundi la Weusi Nikk wa Pili ameachia picha katika uchukuaji wa video ya
single ya ya Sitaki Kazi kupitia Mtandao wa kijamii Instagram ambao
wimbo huo ameufanya pamoja na Ben Pol & G Nako
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro










Post a Comment
Post a Comment