Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


SHIRIKISHO la Soka la Dunia (Fifa) limetangaza viwango vipya vya ubora wa soka duniani kwa Agosti, 2014 huku Tanzania ikiporomoka kwa nafasi nne kutoka 106 hadi 110.


Katika orodha hiyo iliyotolewa leo Agosti 14, 2014 Ujerumani ndiyo vinara wakifuatiwa na Argentina, Uholanzi, Colombia, Ubelgiji, Uruguay, Hispania, Brazil, Switzerland na Ufaransa.UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0712483331. 
Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top