Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Watu wanne wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi wamevamiana kuwaua Mume na Mke na kumjeruhi Mtoto mchanga mwenye umri wa miezi 4 aliechwa na Mama yake aliyeuliwa katika tukio lililotokea Kijiji cha Murvyagira wilayani Ngara mkoani Kagera Ijumaa ya Agost 08,2014.

 Kwa mujibu wa Mtoto wa Marehemu amesema majambazi hao walivamia nyumbani kwao majira ya saa 3 usiku ambapo walitumia panga na jembe kuwaua Baba na Mama yake na kisha kuwapora Maharage gunia moja,Radio,Gunia la Karanga,Mabati na Fedha vitu ambavyo hadi sasa Thamani yake huku wahalifu hao wakitokomea kusikojulikana.

Aidha baadhi ya wananchi walioongea na Blog ya Mwanawamakonda,wameomba  juhudi ya kuimarishwa hali ya usalama na ulinzi wilayani Ngara izidishwe hasa wakati huu ambako matukio ya mauaji yamezidi kujitokeza.


....Mwili wa Mwanaume ukiwa eneo la tukio baada ya Kuawa kwa kukatwa Mapanga na watu  wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi.


....Mwili wa Mwanamke ukiwa eneo la tukio baada ya kuuawa  na Mama huyo ameacha Mtoto mchanga mwenye umri wa miezi 4 aliyejeruhiwa na watu hao wanaodhaniwa ni majambazi.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0712483331.
 
Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top