Mwimbaji Christina Aguilera ameamua kupiga picha akiwa mtupu kwa ajili ya jarida la ‘V Magazine’ la mwezi huu.
Katika picha hizo, mwimbaji huyo mwenye umri wa miaka 33 na mjamzito
anaekaribia kujifungua, ameonesha umbo lake akiwa na mwanae tumboni huku
akiwa amejifunika sehemu ya kifua chake na mikono.
Inaelezwa kuwa Christina ndiye aliyemuita mpiga picha Brian Bowen
Smith kwa lengo la kumpiga picha ili apate kumbukumbu pia kabla ya
kujifungua.
Mwimbaji huyo ambaye ni jaji wa shindano la The Voice, tayari ni mama wa mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka sita aliyempata na mumewe wa zamani Jordan Bratman na sasa anatarajia kumpata mtoto wa pili

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro

Post a Comment
Post a Comment