Miss Tanga 2011, Zubeida Seif.
MISS Tanga 2011, Zubeida Seif ametaka kuzichapa
kavukavu na mwenzake aliyefahamika kwa jina moja la Kelly kisa kikiwa ni
mkali wa wimbo wa Mwana, Ali Saleh Kiba.Tukio hilo lililoacha watu midomo wazi lilitokea juzikati katika baa moja iliyopo maeneo ya Mwenge, Dar ambapo ubishi ulianza baada ya Zubeydah kutetea kuwa Ali Kiba anajua kuimba kuliko Nasibu Abdul ‘Diamond’ huku mwenzake akimpinga ndipo mtiti ulipoibuka.
Mkali wa wimbo wa Mwana, Ali Saleh Kiba.
“Wewe umezidi, unataka kusikilizwa wewe
wakati ukweli unajulikana, acha hizo, ngoja nikuoneshe,” alisikika miss
huyo ambaye sasa anatamba na wimbo wa Zaidi ya Wale.
Bahati nzuri watu waliokuwepo eneo hilo waliwaamulia, wakatulia.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Bahati nzuri watu waliokuwepo eneo hilo waliwaamulia, wakatulia.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro

Post a Comment
Post a Comment