Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


breez
Baada ya ku-tease kwamba video ya New flame itatoka muda wowote, hatimaye imetoka na mashabiki wa Chris Brown wameanza kuiangalia kupitia Youtube.
Kwenye hii video utawaona wasanii wote aliowashirikisha ambao ni Usher Raymond na Rick Ross. Enjoy kuicheki ndani ya dakika 4 na sekunde 11. KUITIZAMA YOUTUBE BONYEZA HAPA
Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu boneyza hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top