Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Photo: Matukio ya watu kujiua na kujaribu kujiua yameshika kasi katika mkoa wa Ruvuma ambapo mkazi wa kijiji cha namatuhi Songea vijijini mkoani Ruvuma, Athuman Hassan amenusurika kufa baada ya kujikata kisu shingoni katika jaribio la kujiua baada ya kuchukizwa na mpenzi wake aliyemtaja kwa jina la Diana Shoti.

Matukio ya watu kujiua na kujaribu kujiua yameshika kasi katika mkoa wa Ruvuma ambapo mkazi wa kijiji cha namatuhi Songea vijijini mkoani Ruvuma, Athuman Hassan amenusurika kufa baada ya kujikata kisu shingoni katika jaribio la kujiua baada ya kuchukizwa na mpenzi wake aliyemtaja kwa jina la Diana Shoti.
Chanzo RadioOne
  • Bonyeza Hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top