Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Mtumoja ambaye hajatambulika amekutwa ameuwawa kwa kuchomwa chomwa sehemu mbalimbali za mwili wake na kitu chenye incha kali katika makaburi ya misuna Singida mjini.


Wakielezea tukio hilo balozi wa mtaa wa mwenge Bi. Mary Mwambusu na mwenyekiti wa mtaa wa misuna Bwana Sarota Masawe wamesema tukio hilo linaonekana kutokea majira ya alfajiri ya siku ya tarahe tano mwezi wa nane katika makaburi ya misuna.

Viongozi hao wa mtaa Mwenge na Misuna wamesema tukio hilo ni la kwanza kutokea lakini wameliomba jeshi la polisi kuimarisha ulinzi hasa maeneo kama hayo ilikudhibiti mauaji kama hayo yasi tokee tena.
Akiongea kwa njia ya simu kamanda wa jeshi lapolisi mkoani Singida Bwana Geofrey Kamwela amekiri kutoke kwa tukio hilo katika eneo la makaburi yaliyopo misuna Singida mjini na amesema jeshi lake bado linaendelea na uchunguzi kuweza kubaini chanzo cha mauaji hayo ambayo ni ya kinyama.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
style="background-color: white; color: #262525; line-height: 19.2px;">kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa    

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top