Kumekuwa
na msisimko mkubwa katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii
nchini Kenya kuhusu taarifa ya msichana wa Kihindi aliyekiuka mila na
tamaduni za jamii yake na kuolewa na kijana Mwafrika.
Msichana huyu wa kihindi anaitwa Sarika Patel, na ameolewa na
kijana wa kabila la Bukusu Timothy Khamala, jambo ambalo ni nadra sana
kwa watu wa jamii ya kihindi. Kilichowashangaza wengi ni kwamba Sarika ametoka
katika familia tajiri na kuamua kuishi maisha ya walalahoi kijijini"""angalia picha zaidi HAPA
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro

Post a Comment
Post a Comment