Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Meninah Abdulkareem ‘Meninah’ amefunguka juu ya tetesi zinazoeneo kuwa na uhusiano wa chinichini na Nasib Abdul ‘Diamond’ kwa kusema kuwa siyo levo yake.
Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Meninah Abdulkareem ‘Meninah’ akiwa ndani ya studio za Global Tv Online.
Akichonga na paparazi wetu, Meninah anayetamba na ngoma ya Pipi ya Kijiti alikanusha na kusema kuwa, wote ni mastaa lakini wametofautiana kwa kiasi kikubwa na kwamba hawezi kuwa naye katika mahusiano ya aina yoyote.
Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond’
“Kwanza nilishawahi kukutana naye kwenye shoo tofauti na zote sikuwahi hata kuzungumza naye chochote, ni staa na mimi staa lakini tunatofautiana kuwa yeye yupo juu yangu,” alisema Meninah.
Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyeza hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top