Msanii
wa Bongo Flava Meninah la Divah ametajwa kuwa katika mahusiano ya
kisirisiri na Diamond Platnumz taarifa hizo zimevuja kupitia kwa
marafiki wa karibu na Meninah wamedai kuwa wawili hao walikutanishwa na
moja kati ya ndugu wa Diamond na hivi karibuni katika kipindi cha Tv
anacho host Meninah eti Diamond aliwahi kumkataza Meninah asishiriki kwa
sababu atakutana na wanaume
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:-
0712483331.
Like ukurasa wetu wa facebook ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment