Pop
star Justin Bieber aliungana na Kanye West,Kim Kardashian,P.Diddy na
mastaa wengine kwenye mapumziko kwenye visiwa vya Ibiza.
Baada ya party
ya pamoja kuisha kila mtu aliendelea na party kivyake na Justin Bieber
alionekana aki-enjoy muda wake na mshichana asiyejulikana.
Mikao yao na ukaribu wao kutokana na picha zilizopigwa wakiwa kwenye
luxury yacht zinaonyesha kabisa wapo kwenye mapenzi. Wawili hao
walitumia muda huo kukaa pamoja,kissing,kunywa na vitu vingine vizuri.
Mapaparazi hawakuwaacha baada ya kuwapiga picha usiku huo kwasababu hadi
asubui walipata picha zao bado wapo pamoja.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro













Post a Comment
Post a Comment