Mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse.
MTANGAZAJI maarufu Bongo, Maimartha Jesse amejikuta akiteguka mguu baada ya kudondoshwa na viatu virefu alivyokuwa amevaa.
Paparazi wetu alimshuhudia Maimartha akiwa anachechemea kwenye sherehe moja ya kitchen party hivi karibuni huku akiwa bado amevaa viatu virefu na alipoulizwa kulikoni anachechemea alijibu kwamba aliteguka mguu baada ya kudondoshwa na viatu virefu.
“Nimeumia mguu baada ya kudondoshwa na hivi viatu virefu lakini sikomi kwa sababu navipenda sana na nikivaa ndiyo nakuwa mrembo zaidi,” alisema Maimartha.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment