Msimu wa Fiesta 2014 umeshaanza na show ya kwanza itafanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba tarehe 9/8/2014o siku ya Jumamosi. Hii ni list ya wasanii watakaofanya show kwenye jukwaa la Fiesta.
- Diamond Platinumz
- Shaa
- Mkubwa na Wanae
- Young Killer
- Ney Wa Mitego
- Mr Blue
- Linah
- Makomando
- Madee
- Young Dee
- Super Nyota
- UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:-
0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment