Flaviana
Matata foundation ambayo imeanzishwa na model Flaviana Matata siku ya
leo (11/8/2014) itakuwa mkoani Lindi katika muendelezo wa kazi za
kuchangia elimu.Timu ya FMF itakuwa kwenye shule za msingi Mtua huko
Nachingwea na Litingi iliyopo Lindi Mjini. Wanafunzi 700 wa shule hizi
mbili watapokea vifaa vya shule kutoka Flaviana Matata foundation ambapo
shughuli hii imedhaminiwa na PSPF.
Flaviana Matata foundation imewai kufanya kazi kama hizi sehemu tofauti kama Bagamoyo na sehemu nyingine kwenye project za FMF back to school project.


UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:-
0712483331.
Like ukurasa wetu wa facebook ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment