
Ugonjwa wa
Ebola umelipuka sana huko Africa magharibi na umeua watu wengi sana.
Hivi sasa mambo mengi yanafanywa ili kukinga watu dhidi ya maambuzi
mampya.Njia moja wapo ni kutenga na kulifunga eneo lolote ambalo lina
mgonjwa wa Ebola. Lakini hivi ndivyo wafanyakazi wa ndege za Africa
magharibi wanavyovaa ili kujikinga.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment