Ajari mbaya ya gari yatokea jioni (jana) ya leo wilayani
Urambo,chanzo cha ajari hiyo ni mwendo kasi uliyopelekea dereva
kushindwa kukata kona na kwenda kugonga kibanda cha mgahawa kilichopo
pembeni mwa barabara.Katika ajari hii hakuna alie gongwa ni dereva tu
ndie aliyeumia na kukimbizwa hospital ya wilaya.Ajari hii imetokea
kwenye barabara ya Patel.Dereva alikuwa akiendesha gari hili aina ya toyota land cruza T323ALL jina lake hatukuweza kulipata mapema.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment