Nahodha wa timu ya taifa ya England Steven Gerrard, 34, amestaafu kucheza soka la kimataifa.
Akizungumza
kwenye tovuti ya chama cha soka cha England FA amesema: "nimefurahia
kila dakika niliyowakilisha nchi yangu na ni siku ya masikitiko kufahamu
sitovaa tena jezi ya England."
Gerrard ameichezea England kwa miaka 14
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment