Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

 Kijana mdogo mwenye umri wa miaka 17 Zelalem mwenye asili ya Ethiopia lakini mzaliwa wa Berlin Germany ambako wazazi wake waliamishia makazi  yao huko, hapa Zelalem akichuana na Thierry Henry wa New York Red Bulls. Katika mchezo Arsenal walikubari kipigo cha bao moja bao lilipatika  katika dk ya 33 na mfungaji alikuwa ni Bradley Wright Phillips wa Red bulls.
 Wilshere Mchezaji wa Arsenal akijaribu kumzunguka mchezaji wa Red bulls katika mchezo huo, Arsenal hii ni mara yao ya kwanza kufanya ziara katika nchi ya Marekani.

UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
 
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top