Jeshi
la polisi Mkoa wa kipolisi Kinondoni, limefanikiwa kukamata viungo vya
binadamu vikiwa kwenye mifuko ya plastiki katika maeneo ya Bunju eneo
ambalo ni marufu kwa uchimbaji wa kokoto.
Viungo hivyo vilivyotambulika ni kama vile miguu iliyokauka na mafuvu ya vichwa vya binadamu huku navyo vikiwa vimekaushwa.....
Jeshi la polisi lipo eneo la tukio kwa ajili ya uchunguzi zaidi
Tukio zima litakuijia hivi punde Endelea kutembelea
kibonajoro blog..bonyeza hapa TUNAOMBA RADHI KWA PICHA...HIVI NDIVYO VIUNGO VYA BINADAMU VILIVYOKUTWA KWENYE MFUKO USIKU HUU JIJINI DAR ES SALAAM
kibonajoro blog..bonyeza hapa TUNAOMBA RADHI KWA PICHA...HIVI NDIVYO VIUNGO VYA BINADAMU VILIVYOKUTWA KWENYE MFUKO USIKU HUU JIJINI DAR ES SALAAM
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment