Mwili wa mmoja ya Maiti za ajali hiyo ukiwa Kando ya Barabara
Maiti zikiwa ndani ya mtaro baada ya ajali
Magari mawili aina ya Coaster yanayosafirisha abiria kati
ya Mwenge, Tegeta na Mbezi jiijini Dar, yamegongana na na kuua abiria
wanaokadiriwa kufikia zaidi ya 10, ajali hiyo imetokea mchana huu eneo la
Makongo. Mashahuda wa ajali hiyo wamesema kuwa uzembe uliofanywa na dereva wa
daladala iliyokuwa ikitoka Tegeta ndiyo uliosababisha ajali hiyo, kwani alipita
upande usiyo wake.
Baadhi ya maiti kwenye ajali hii zikiwa zimewekwa kwenye gari la polisi
Gari aina ya Coaster kama Inavyoonekana ikiwa imeharibika vibaya upande wa kulia mara baada ya ajali hiyo
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment