Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


lady jay dee ni msanii mkongwe sana na mwenye maendeleo makubwa pia ameweza kulinda heshima yake tangu kipindi anaanza mpaka hii leo , mziki umeweza kumpatia mafanikio makubwa ikiwemo kupata tuzo kibao kimataifa na kimataifa, mbali na hilo pia jay dee anamiliki band inayoitwa machozi bendi, naa pia mgahawa wa kisasa unaoitwa nyumbani lounge , hii leo tunkuletea exclusive picha ya nyumba ya kifahari anakokaa mwanadada huyo , picha zote ziko hapa shuka nazo
 kama huja like ukurasa wetu wa facebook kwa habari zaidi BONYEZA HAPA

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top