Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya
Marehemu Kanali mstaafu Ali Hassan Mwanakatwe wakati wa hafla ya kuaga
mwili wa marehemu katika Hospitali Kuu ya Jeshi (GMH) Lugalo, jijini Dar
es Salaam leo Juni 9, 2014.Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Dkt Hussein Mwinyi, Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Samuel Albert
Ndomba na maafisa waandamizi wa jeshi na waombolezaji wakiwa katika
shughuli ya kuaga mwili wa Marehemu Kanali mstaafu Ali Hassan Mwanakatwe
katika Hospitali Kuu ya Jeshi (GMH) Lugalo, jijini Dar es Salaam leo
Juni 8, 2014.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwenya shughuli
ya kuaga mwili wa Marehemu Kanali mstaafu Ali Hassan Mwanakatwe
aliyefariki dunia Jumamosi asubuhi katika Hospitali Kuu ya Jeshi (GMH)
Lugalo, jijini Dar es Salaam. Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akifariji wafiwa kwenya shughuli ya kuaga
mwili wa Marehemu Kanali mstaafu Ali Hassan Mwanakatwe aliyefariki
dunia Jumamosi asubuhi katika Hospitali Kuu ya Jeshi (GMH) Lugalo,
jijini Dar es Salaam.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mjane wa Marehemu Saidi Ngamba
“Mzee Small wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii huyo maarufu wa
filamu za vichekesho nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es
salaam leo Juni 9, 2014
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mjane wa Marehemu Saidi Ngamba
“Mzee Small wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii huyo maarufu wa
filamu za vichekesho nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es
salaam leo Juni 9, 2014 Mama Salma Kikwete akimpa pole mjane wa
Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Smal”l wakati alipokwenda kuhani msiba wa
msanii huyo maarufu wa filamu za vichekesho nyumbani kwa marehemu
Tabata Kimanga jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014 Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakifariji wafiwa
wakati walipokwenda kuhani msiba wa msanii maarufu wa filamu vichekesho
Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa marehemu Tabata
Kimanga jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014 Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika dua wakati alipokwenda
kuhani msiba wa msanii maarufu wa filamu vichekesho Marehemu Saidi
Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es
salaam leo Juni 9, 2014 Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo
wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii maarufu wa filamu vichekesho
Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga
jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014 Kulia ni Bw. Mahmoud Saidi,
Mtoto wa Marehemu “Mzee Small”Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Bw. Mahmoud Saidi, Mtoto wa
Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” wakati alipokwenda kuhani msiba wa
msanii huyo maarufu wa filamu vichekesho nyumbani kwa marehemu Tabata
Kimanga jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment